Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Mh: Salehe Mbwana Muhando akabidhi kitita cha fedha kwa mshindi wa kwanza mpaka msihindi wa tatu katika ligi ya kata ya Tongwe wilayani Tanganyika na kuwataka vijana kuunganishwa na dhamila ya Uzalendo na maendeleo kupitia michezo.
Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Mh:Salehe Mbwana Mhando ambaye alikuwa mgeni lasimi katika fainali ya Ligi ya Mheshimiwa diwani wa Kata ya Tongwe Frenky Kibigasi akikagua timu kabla ya mchezo huo kuanza kati ya timu ya Vikonge na Kalanda mianzi zote za kutoka kata hiyo.
DC Mhando akikagua kikosi cha timu ya Vikonge Fc.
DC Mhando akikabidhi kitita kwa mchezaji wa timu ya Vikonge Fc kwa niaba ya timu hiyo ambayo mpaka mchezo unamalizika imeongoza bao 3-1 dhidi Vikonge Fc.
DC Mhando AKIWA Katika picha ya Pamoja na timu ya Vikonge Fc ambayo ambayo wamekuwa vinara katika ligi hiyo iliyoshirikisha timu sita zote kutoka katika kata ya Tongwe wilayani Tanganyika.
Mbwewe za mashabiki wa timu ya Kalandamianzi.
Comments
Post a Comment