Wilaya ya Tanganyika inakabiliwa na tatizo la uhaba wa shule za sekondari.

Mkuu wa wilaya ya  Tanganyika Mh. Salehe Mhando akishiliki katika ujenzi wa vyumba vya madarasa

Wilaya ya Tanganyika inakabiliwa na tatizo la uhaba wa shule za sekondari hali inayopelekea kushusha kiwango cha ufaulu mkoani katavi.
Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya hiyo salehe muhando wakati wa kipindi cha majadiliano  katika kikao cha 11 cha kamati ya ushauri  mkoa.
Aidha Mh. Mhando amesema uhaba wa shule za kata imekuwa chanzo cha kutengeneza mazingira ya utoro na kuiomba ofisi ya elimu mkoa kuonyesha ushirikiano ktk jitihada zinazotoka kwa wazazi na wilaya hiyo.
Wilaya ya Tanganyika iliyopo mkoani katavi ina kata 16 huku ikiwa na shule za kata sekondari 8 pekee.


Comments

Popular posts from this blog

MKUU WA WILAYA YA TANGANYIKA MKOA WA KATAVI DC SALEHE MHANDO ASEMA MAPAMBANO DHIDI YA UVUVI HARAMU NI ENDELEVU

Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Mh: Salehe Mbwana Muhando akabidhi kitita cha fedha kwa mshindi wa kwanza mpaka msihindi wa tatu katika ligi ya kata ya Tongwe wilayani Tanganyika na kuwataka vijana kuunganishwa na dhamila ya Uzalendo na maendeleo kupitia michezo.