Mkuu wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi DC Salehe Mhando amewataka wakulima kutumia lasilimali zilizopo ili kufikia kilimo chenye tija kiuchumi.
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika iliyopo mkoani Katavi MH:Salehe Mhando Leo akishiriki kufanya parizi Katika shamba la pamba la Mkazi wa Kijiji cha Vikonge Katika Kata ya Tongwe.
Hali ya ukosefu wa pembejeo za Kilimo inatajwa kuwa kikwazo cha Maendeleo katika kufikia adhima ya Kilimo chenye tija nchini.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika DC Salehe Mhando mkoani Katavi alipokuwa akizungumza na wakulima wa kijiji cha vikonge kilichopo wilayani humo.
Amewataka wakulima kutumia vizuri pembejeo wanazo zipata ili waweze kumudu uzarishaji wa mazao kwa kiwango kikubwa kitakacho rahisisha kuwaingizia kipato na kumudu changamoto hizo katikasiku za baadaye.
Pamoja na hayo amekagua mashamba mbali mbali ya kilimo ikiwemo mashamba ya Mahindi.
Salehe Mhando anasema hali ya mazao ya kilimo wilayani Tanganyika inaleta matumaini zaidi licha ya uhaba wa pembejeo za kilimo.
Shamba la Mahindi katika kijiji cha Vikonge .

Comments
Post a Comment