DC Tanganyika mkoa wa Katavi Salehe Mhando aelezea kukerwa na kitendo cha kufukuza wanafunzi kwa michango yoyote.




Mkuu wa wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi Salehe Mhando amesema hatuvumilia kufukuzwa kwa wanafunzi kwaajili ya michango ya shuleni.

Katika Mazungumzo yaliyofanywa na Mpanda Radio Fm ambapo ameeleza kuwa kitendo hicho licha ya kupingana na agizo la serikali, lakini pia kinamuathiri mwanafunzi kisaikolojia.

 Ametoa ufafanuzi kuwa  michango ambayo inaendelea Katika wilaya hiyo ni ile ambayo inaendeshwa na wazazi wenyewe kama vile chakula kwa wanafunzi.

Katika hatua nyingine amewashukuru wananchi wa wilaya hiyo Kuendelea naujenzi wa vyumba vya madarasa ili kupungu za msongamano wa wanafunzi.

Comments

Popular posts from this blog

MKUU WA WILAYA YA TANGANYIKA MKOA WA KATAVI DC SALEHE MHANDO ASEMA MAPAMBANO DHIDI YA UVUVI HARAMU NI ENDELEVU

Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Mh: Salehe Mbwana Muhando akabidhi kitita cha fedha kwa mshindi wa kwanza mpaka msihindi wa tatu katika ligi ya kata ya Tongwe wilayani Tanganyika na kuwataka vijana kuunganishwa na dhamila ya Uzalendo na maendeleo kupitia michezo.

Wilaya ya Tanganyika inakabiliwa na tatizo la uhaba wa shule za sekondari.