MKUU WA WILAYA YA TANGANYIKA MKOA WA KATAVI DC SALEHE MHANDO ASEMA MAPAMBANO DHIDI YA UVUVI HARAMU NI ENDELEVU
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mh:Salehe Mbwana Mhando aliye kati kati akiwa katika operesheni ya kuchoma nyavu haramu zinazotumika ziwa Tanganyika lilipopo wilayani Tanganyika mkoani Katavi kushoto ni Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Mpanda Mh:Hamadi Mapengo.
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mh: Salehe Mbwana Mhando akishuhudia uchomaji wa nyavu zisizo faa katika uvuvi katika mwambao wa ziwa Tanganyika eneo la Ikola na Kalema.
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mh: Salehe Mbwana Mhando akishuhudia uchomaji wa nyavu zisizo faa katika uvuvi katika mwambao wa ziwa Tanganyika eneo la Ikola na Kalema.
Comments
Post a Comment