Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika MH: Salehe Mbwana Mhando amekabidhiwa mifuko ya Saruji 50 yenye thamani ya shiringi milioni 1.

Mkuu  wilaya ya Tanganyika MH:Salehe Mhando akikabidhiwa mifuko ya saruji na Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Msingi cha Tumbaku cha Mpanda Kati Nd: Mashaka Shabani






Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mheshimiwa Salehe Mhando akizungumza  na waandishi wa 
Habaribaada ya kukabishiwa mifuko hiyo kwaajili ya sekta ya Elimu wilayani Tangayika mkoa wa Katavi pembeni ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda James Rojas Romuli.

Nimueendelezo wa Jitihada za DC Mhando kuhamasisha uachangiaji wa hali na mali katika shughuri za maendeleo ya wilaya hiyo kwa sasa ikilenga zaidi kujenga miundo mbinu ya Elimu katika shule za sekondari na shule za msingi wilayani Tanganyika mkoa wa Katavi.

Comments

Popular posts from this blog

MKUU WA WILAYA YA TANGANYIKA MKOA WA KATAVI DC SALEHE MHANDO ASEMA MAPAMBANO DHIDI YA UVUVI HARAMU NI ENDELEVU

Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Mh: Salehe Mbwana Muhando akabidhi kitita cha fedha kwa mshindi wa kwanza mpaka msihindi wa tatu katika ligi ya kata ya Tongwe wilayani Tanganyika na kuwataka vijana kuunganishwa na dhamila ya Uzalendo na maendeleo kupitia michezo.

Wilaya ya Tanganyika inakabiliwa na tatizo la uhaba wa shule za sekondari.