Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mh: Salehe Mbwana Mhando apokea mifuko 100 ya saruji kutoka kwa Wasambazaji na wauzaji wa mafuta GBP Tanzania
Miongoni mwa wadau walio changia jitihada hizo zinazo ongozwa na Mh Salehe Mhando ni pamoja na mmiliki wa Kisiwa cha habari nd:Ezron Mahanga ambaye pia ni Mwandishi wa habari kupitia Clouds Media akiwakilisha kikundi hicho.
DC Salehe Mhando amewashukuru wadau hao kwa kuunga mkono jitihada za serikali awamu ya tano katika kuimarisha miundo mbinu ya kielimu wilayani Tanganyika akiitaja kama njia bora zaidi ya kuchochea uwajibikaji baina ya serikali na wananchi ili kuinua kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari wilayani humo.
Mwezi uliopita wadau wa Elimu walichangia zaidi ya shilingi milioni 150 kwaajili ya kuboresha miundo mbinu ya kielimu katika wilaya ya Tanganyika.
The new Vegas hotel on the Strip is now the new Vegas
ReplyDelete(CNN) – The Vegas Strip hotel on the Strip is 군산 출장안마 now the new Vegas hotel on the Strip. The Vegas 대구광역 출장안마 hotel 거제 출장마사지 on the Strip is now the 군산 출장샵 new Vegas hotel on 룰렛 게임