Serikali imetoa milioni 400 kwaajili ya ujenzi wa kituo cha afya Katika Kata ya Mishamo kilichopo Wilayani Tanganyika.
Serikali imetoa milioni 400 kwaajili ya ujenzi wa kituo cha
afya Katika Kata ya Mishamo kilichopo Wilayani Tanganyika.
Fedha hizo ni kwa ajili ya ujenzi wodi ya akina mama, na watoto chumba cha upasuaji maabala pamoja na chumba cha kuhifadhia maiti na .
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mheshimiwa Salehe Mbwana Mhando
amesema hayo alipokuwa ameongozana na Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja
Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga katika ukaguzi wa jengo hilo ambalo linaendelea
kujengwa.
Jengo la kituo cha afya Mishamo linalo endelea kujengwa katika wilaya ya Tanganyika (PICHA NA DC Mhando ) |
Comments
Post a Comment