Mkuu wa mkoa wa katavi meja jenereali mstaafu Rafael Muhuga amewataka wanaume kushirikiana na wanawake katika vita dhidi ya umasikin..

KATAVI.   SIKU YA MWANAMKE DUNIAN. 08/03/2018


Mkuu wa mkoa wa katavi meja jenereali mstaafu Rafael Muhuga amewataka wanaume kushirikiana na wanawake katika vita dhidi ya umasikin..

Kauli hiyo ameitoa katika kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake iliyofanyika kimkoa katika kata ya sibwesa wilayan Tanganyika mkoan Katavi

Katika hotuba yake Muhuga amesema endapo jamii ikishirikiana kwa pamoja vita hiyo itakuwa imekwisha ndan ya jamii

Awali akisoma risala mwenyekiti wa jukwaa LA wanawake wilayan Tanganyika Helen kipoki amesema kuwa wanawake kwa pamoja wamejipanga kupambana na umasikin kwa vitendo baada ya kutekeleza Sera ya Tanzania ya viwanda.

Nao baadhi ya wajasiriamali  wanawake waliohudhuria sherehe hizo wamesema kuwa wameiomba serikali kuiwasaidia upatikanaji wa soko ili kurahisisha uuzwaji wa bidhaa wanazozalisha


Mkuu wa Wilaya ya Tanganyikamkoani Katavi MH. Salehe Mhando Katika picha akishuhudia burudani mbali mbali Katika maazimisho hayo. 


Siku ya mwanamke inayofanyika kila March 8 ya kila mwaka ambapo  kitaifa iliyofanyika mkoani mbeya imebebwa na kauli mbiu kuelekea uchumi wa viwanda tuimarishe usawa wa jinsia na uwezeshaji wa wanawake vijijin


Comments

Popular posts from this blog

MKUU WA WILAYA YA TANGANYIKA MKOA WA KATAVI DC SALEHE MHANDO ASEMA MAPAMBANO DHIDI YA UVUVI HARAMU NI ENDELEVU

Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Mh: Salehe Mbwana Muhando akabidhi kitita cha fedha kwa mshindi wa kwanza mpaka msihindi wa tatu katika ligi ya kata ya Tongwe wilayani Tanganyika na kuwataka vijana kuunganishwa na dhamila ya Uzalendo na maendeleo kupitia michezo.

Wilaya ya Tanganyika inakabiliwa na tatizo la uhaba wa shule za sekondari.