Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi Mh. Salehe Mbwana Mhando anawatangazia wananchi wa Wilaya hiyo Kuhudhuria mkutano wa Wadau wa Elimu.
Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mh. Salehe Mbwana Mhando |
Tarehe 14/3/2018 tutakua na Mkutano wa Wadau wa Elimu Tarafa ya Karema. Mkutano huo utafanyika katika Shule ya Sekondari Karema ambapo Mgeni Rasmi atakuwa Mkuu wa Mkoa wa Katavi akuambatana na Katibu Tawala Mkoa, REO, Mkuu wa Wilaya, Viongozi wa Elimu ngazi ya Halmashauri.
Waalikwa ni Viongozi wa Dini mbali mbali, Walimu wote katika Tarafa, sample ya Wanafunzi, Wazee, Wakuu wa Idara mbali mbali ngazi za Kata, na wote watakaopenda kuja kushiriki akina mam, baba na vijana.
Kutakuwa na taarifa za elimu kimkoa, wilaya na kikata.
Kutakua na michongo ya hoja katika kukabiliana na changamoto zinazokabili elimu mkoani Katavi hususani Tarafa ya Karema.
Mkutano utaanza saa 2:00. Chakula cha mchana kitaandaliwa kwa washiriki wote.
Usafiri kufika eneo la tukio itakuwa ni kujitegemea.
NAOMBA TUZIDI KUHANASISHANA ILI KUFANIKISHA MALENGO YALIYOKUSUDIWA KATIKA MKUTANO HUO MAHUDHURIO NA KUWAHI YAUCKIWA NDIO KIPAUMBEKE.
Comments
Post a Comment