Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi Mheshimiwa Salehe Mhando amepokea vifaa mbalimbali kutoka NMB kwa ajili ya kituo cha afya cha Mwese vyenye thamani ya million 5.

Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi Mheshimiwa Salehe Mhando amepokea vifaa mbalimbali kutoka NMB kwa ajili ya kituo cha afya cha Mwese vyenye thamani ya million 5.

Mheshimiwa Salehe Mhando akipokea vitanda,magodoro,mashine mbili za kupima pressure na seti 3 za vifaa vya kufanyia upasuaji mdogo mdogo.

Hizo ni miongoni mwa jitihada zinazofanywa na DC Mhando Katika kuimarisha Huduma ya afya kwa wananchi wa wilaya hiyo.

Serikali awamu ya tano chini ya Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli imeweka mkazo zaidi katika uimarishaji wa huduma za kijamii ili kama vile afya, ambapo mpango ni kila kata kuwepo na kituo cha Afya.

Comments

Popular posts from this blog

MKUU WA WILAYA YA TANGANYIKA MKOA WA KATAVI DC SALEHE MHANDO ASEMA MAPAMBANO DHIDI YA UVUVI HARAMU NI ENDELEVU

Mkuu wa wilaya ya Tanganyika Mh: Salehe Mbwana Muhando akabidhi kitita cha fedha kwa mshindi wa kwanza mpaka msihindi wa tatu katika ligi ya kata ya Tongwe wilayani Tanganyika na kuwataka vijana kuunganishwa na dhamila ya Uzalendo na maendeleo kupitia michezo.

Wilaya ya Tanganyika inakabiliwa na tatizo la uhaba wa shule za sekondari.